Mt. Meru Astronomical Observatory’s Eliatosha Maleko has prepared a brief introduction On Observing the Solar Eclipse in Tanzania. This document is presented in both Kiswahili and in English.
“Kawaida, tukio la kupatwa kwa jua hujitokeza takriban mara mbili kwa mwaka, wakati Mwezi, Jua na Dunia ziko kwenye mstari wa moja kwa moja. Wakati wa kupatwa kwa jua Mwezi hutembea kati ya Dunia na Jua, ikitoa kivuli katika sehemu ya uso wa Dunia.”
“Typically, solar eclipse event occurs about two times in a year, when the Moon, the Sun and the Earth are in a straight line. During the eclipse the Moon moves between the Earth and the Sun, casting a shadow across a portion of the surface of the Earth.”