Shule ya Msingi Ilboru

Karibu katika ukurasa wa Shule ya Msingi Ilboru. Ukurasa huu una kazi za nyumbani (homework) zilizoandaliwa na walimu wa masomo mbali mbali kutoka shule ya Msingi Ilboru iliyopo Arusha.

Unaweza kupakua (download) kazi ya nyumbani kwa kubonyeza jina la kazi hapo chini. Kwa sasa kazi hizi zinapatika kwa wanafunzi wa madarasa ya mtihani (darasa la Nne na la Saba).

Baada ya kupakua kazi na mwanafunzi kuifanya rudi katika ukurasa huu na ubonyeze HAPA ili kuwasilisha kazi kwa ajili ya mwalimu kuisahihisha na kutoa masaada unaohitajika kwa mwanafunzi.

Wazazi wanashauriwa kutoa msaada unaohitajika ili wanafunzi waweze kupata kazi hizi, kuzifanya na kuziwasilisha katika kipindi hiki ambapo shule zimefungwa kutokana na janga la COVID-19 nchini Tanzania.

Kwa mawasiliano zaidi au ufafanuzi tafadhali wasiliana kupitia namba +255 766024344.

Darasa la Nne

    • Kazi itawekwa siku chache zijazo

Darasa la Saba