Maswali ya Wanafunzi Kuhusu Satelaiti

Kipindi cha macho angani kuhusu satelaiti kimeiubua maswali mengi toka kwa wanafunzi mengi kuhusu satelaiti na umuhimu wake kwa maisha ya leo.  Maswali hayo yamepatiwa majibu, nasi tumeona ni vyema kushiriki nanyi ili tujifunze pamoja. Wanafunzi wa shule ya Msingi Ilboru wakiongozwa na mwalimu wao Eliatosha  Maleko, wamekuwa wakijifunza kuhusu elimu ya anga au astronomia …

Students’ Astro Journey with Macho Angani to Understand Satellites

Students from Ilboru Primary schools and their teacher Eliatosha are on an astronomy learning journey using Swahili astronomy podcasts dubbed Macho Angani that means Eyes in Sky.  On this day they learned about Satellites, what they are, the purpose they serve, and their benefits to human kinds.   The journey took them beyond what would be covered …

Macho Angani na Ufahamu wa Sayari ya Zuhura Shule ya Msingi Ilboru

Wanafunzi na Wanachama wa klabu ya Sayansi katika shule ya msingi Ilboru, wamejifunza kuhusu sayari ya Zuhura au Venus kwa kusikiliza  mfululizo wa makala za kipindi cha redio cha Macho Angani.  Mwalimu wao Eliatosha Maleko ameshiriki nasi maswali ya wanafunzi hao baada ya kusikiliza kipindi hicho hapo chini. Unaweza kusikiliza, kujifunza na kusaidia kujibu maswali …

Elineema, Hamuli welcome new teachers to MMAO

Ambassador to MMAO Elineema Nassari writes, “Yesterday was so good day at [the MMAO] observatory, we received a group of students and their teachers from Nshupu secondary school. Students and teachers learned many things about Astronomy, how to use telescope, types of telescopes, the solar system, the moon, meaning of galaxy and Milky way galaxy …

Resources

Macho Angani – Eyes at the Sky by Ingo Koll Ingo has been producing a weekly radio programme on astronomy in the Swahili language since mid 2020. It is broadcast by 4 radio stations in Dar es Salaam, Moshi, Arusha, Tanga, Morogoro and some places in between. “Macho Angani” was inspired by a German version …