Maswali ya Wanafunzi Kuhusu Vimondo
Nchini Tanzania tuna Kimondo cha mbozi ambacho unaweza kusoma zaidi hapa.

Mt. Meru Astronomical Observatory
Science Motivation for the Next Generation | Motivation ya Sayansi kwa Kizazi kijacho
Nchini Tanzania tuna Kimondo cha mbozi ambacho unaweza kusoma zaidi hapa.
Mwezi ni kitu tulichokizoea kukiona mara kwa mara nyakati za asubuhi, jioni na usiku. Lakini katika mila na tamaduni zetu za kiafrika na hata nje ya Afrika, kuna nadhalia nyingi na hadithi kuhusu Mwezi. Kupitia kipindi cha macho angani, wanafunzi wameweza kujifunza na kudadishi mambo mengi kuhusu Mwezi kwa kuzingatia sayansi. Hapa chini ni baadhi …
Shauku kubwa ya kutaka kujua iliwajaa wanafunzi wa shule ya Msining Ilboru mara baada ya kusikiliza kipindi cha macho angani kinachohusu wanaanga na safari zao za angani. Kwa kushirikianana mwalimu wao Eliatosha Maleko, wanafunzi waliweza kujifunza kuhusu safari za anga na wanaanga waendao safari za mbali. Kabla ya kipindi mwalimu alipakua na kuwaonyesha picha za …
Kipindi cha macho angani kuhusu satelaiti kimeiubua maswali mengi toka kwa wanafunzi mengi kuhusu satelaiti na umuhimu wake kwa maisha ya leo. Maswali hayo yamepatiwa majibu, nasi tumeona ni vyema kushiriki nanyi ili tujifunze pamoja. Wanafunzi wa shule ya Msingi Ilboru wakiongozwa na mwalimu wao Eliatosha Maleko, wamekuwa wakijifunza kuhusu elimu ya anga au astronomia …
Students from Ilboru Primary schools and their teacher Eliatosha are on an astronomy learning journey using Swahili astronomy podcasts dubbed Macho Angani that means Eyes in Sky. On this day they learned about Satellites, what they are, the purpose they serve, and their benefits to human kinds. The journey took them beyond what would be covered …
Continue reading “Students’ Astro Journey with Macho Angani to Understand Satellites”
Wanafunzi na Wanachama wa klabu ya Sayansi katika shule ya msingi Ilboru, wamejifunza kuhusu sayari ya Zuhura au Venus kwa kusikiliza mfululizo wa makala za kipindi cha redio cha Macho Angani. Mwalimu wao Eliatosha Maleko ameshiriki nasi maswali ya wanafunzi hao baada ya kusikiliza kipindi hicho hapo chini. Unaweza kusikiliza, kujifunza na kusaidia kujibu maswali …
Continue reading “Macho Angani na Ufahamu wa Sayari ya Zuhura Shule ya Msingi Ilboru”
Dan Heim, educator, astronomer, and writer has provided an introduction to NASA’s next rover Perseverance and the first aircraft ever intended to fly on another planet, Ingenuity. Perseverance and Ingenuity — it would be hard to devise more descriptive names for this Mars rover and its drone. Their mission on the Red Planet is, perhaps, …
Continue reading “Perseverance and Ingenuity on their way to Mars!”
Comet Neowise by Padraig Houlahan, Flagstaff, Arizona, USA The Comet Neowise (C/2020 F3), a long-period visitor to the inner solar system is giving viewers in the Northern hemisphere a spectacular show. NEOWISE was discovered by the Near-Earth Object Wide-Field Infrared Survey Explorer (NEOWISE) space telescope earlier this year. This icy, dirt and snowball with a …
Continue reading “Comet Neowise is putting on a spectacular show!”
The African Astronomical Society is coordinating a pan-African public campaign for the 21 June solar eclipse in collaboration with outreach experts across the continent. It has made several resources available in Kiswahili, Amharic, and English. All resources are free for download and to be shared widely. MMAO is proud to have played a part in …
Continue reading “African Astronomical Society Eclipse Resources”
Mt. Meru Astronomical Observatory’s Eliatosha Maleko has prepared a brief introduction On Observing the Solar Eclipse in Tanzania. This document is presented in both Kiswahili and in English. “Kawaida, tukio la kupatwa kwa jua hujitokeza takriban mara mbili kwa mwaka, wakati Mwezi, Jua na Dunia ziko kwenye mstari wa moja kwa moja. Wakati wa kupatwa …
Continue reading “On Observing the Solar Eclipse in Tanzania”