Udadisi wa Wanafunzi wa Ilboru kuhusu Jua na Nishati yake

Maswali ya udadisi hapo chini kuhusu Jua na Nishati yake yameulizwa na wanafunzi wa shule ya Msingi ilboru mkoani Arusha katika Club ya sayansi baada ya kujifunza kuhusu Nyota ya Jua. Kupitia kipindi hiko wanafunzi pia walichunguza na kulitazama jua kwa kutumia miwani maalumu ya kutazama Jua (Solar Eclipse Shade) pamoja na vifaa vingine kama …

Curious, Astro-Science questions from Ilboru Primary School

Curious questions below were asked by primary schools students from Ilboru secondary school following a Science Club session on understanding and exploring the Sun as a Star using protective Sun sunglasses. These students are always happy to learn and share their learning with others through this blog, please get in touch with Eliatosha if you …

Maswali na Majibu Kuhusu Sayari na Nyota

Ufahamu kuhusu sayari unafundishwa katika ngazi ya shule ya msingi na sekondari nchini Tanzania. Walimu, wanafunzi na wazazi wanaweza kudhani kuwa wanaufahamu wa kutosha kuhusu sayari. Hata hivyo, kipindi cha macho angani kuhusu sayari bado kimeibua maswali na udadi zaidi juu ya ufahamu kuhusu sayari.  Yafuatayo ni baadhi ya maswali na majibu kuhusu sayari yaliyoulizwa …